Pages

Monday, 18 January 2016

Nafasi za Kazi WCB Wasafi

Nafasi za Kazi WCB Wasafi

Tunahitaji watu tutakao fanya nao kazi katika nafasi zifuatazo:

1.Photographer mwenye uwezo mkubwa wa kupiga picha na graphic design, illustrator na motion graphic etc

2.Wedding and Corporate Event Photographer

NB: Jinsia na Elimu Havita zingatiwa , Uwezo na juhudi binafsi ndio kigezo

Tuma kazi zako pitia whats app number
0762052850

No comments:

Post a Comment