Pages

Wednesday, 13 July 2016

Job Opportunities at Smart Tanzania ltd, Application Deadline: 31 Jul 2016

Smart ni mtandao wa mawasiliano ya Simu wenye ofisi zake Mikocheni B (Makao makuu). Kutokana na kuongezeka kwa Watumiaji wa huduma zetu tunatoa nafasi za kazi katika upande wa SALES tukiwa na uhitaji wa FREELENCERS (8).

NAFASI ILIYOPO
1. FREELENCERS (8)

MAJUKUMU YA KAZI
1. Kuuza bidhaa za Smart yaani Kadi za Simu (SIMCARDS)
2. Kutangaza BRAND ya Smart katika maeneo mbalimbali
3. Kutafuta na kuwauzia mawakala VOCHA za Smart

SIFA ZA WAOMBAJI
1. Elimu ya kuanzia, shahada  au  diploma katika mauzo au masoko
2. Mwenye kujituma na kuonesha juhudi na mwaminifu
3. Awe tayari kutembea maeneo mbalimbali ya mji wa Dar es salaam

MALIPO/MSHAHARA
1. 150,000 kwa MWEZI kwa atakae uza kadi 5 kwa siku
2. 200,000 kwa mwezi akiuza kadi 10 kwa siku

Mshahara unaweza kuongezeka kutokana na bidii yakoya  mauzo ya Kadi za Simu

Kwa walio na sifa na vigezo hivyo tuma maombi yako smarttanzaniafreelancers@gmail.com

No comments:

Post a Comment